Happy birthday.,endelea kukaza buti mkuu mambo mazuri hayataki haraka....Namshukuru Mungu kwa afya leo nimetimiza miak 34 tangu nizaliwe. Nawashukuru wazazi pia kwa kunilea na kila kitu toka kwao.
Maisha yangu bado napambana. Hapa nilipo sina
Nyumba, mke wala gari. Ila nitapambana mpaka nipate.
Happy birthday to me.
Sijui watu wanakwama wapi.. yani ningalikuwa Mimi ningali... Yesu anajua..😂Happy birthday Tamu ya nani sijui...