Happy birthday to me

Cha uchangamfu wangu, Nakupendaga tu Mimi mwenzio, Mungu akakuangazie nuru za uso wake siku zote za maisha yako,

baraka, mafanikio, upendo, afya njema na amani viambatane nawe kila iitwapo leo, Kheri ya Siku ya Kuzaliwa Chakorii wange'..!! ❤️ ❤️
 
Happiest birthday mrembo. Mkono wa Bwana usikupungukie; ukalindwe na kutunzwa. Mungu akakupe kicheko cha kudumu kwenye maisha yako. Nuru ya Kristo ing'ae kwenye maisha yako.[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…