Happy birthday to me

Walivyokongoroka
Hupaswi kumcheka mtu yeyote kwa ugumu anaoupitia au changamoto anazopitia..ni mbaya sana..

Huwa najaribu kuvaa kiatu cha mhusika ambae anapitia wakati ambao haufurahii..na hii imekuwa ikinitesa sana kwenye maisha ya kawaida.

Haijalishi mtu alikuwa mrembo kiasi gani akakongoroka,akawa kwenye maisha ya chini usijaribu hata kwa bahati mbaya kumcheka haipendezi.

Maisha yananyakati..ukiweza kujitunza vizuri mpka uzeeni na huku una afya tele!!basi ni jambo la kumshukuru Mungu aketie mahali Patakatifu.🥂🧚‍♀️
 
Thank you! Happy birthday to you #GeminiSeason
 
🥰🥰🥰Nakupendaga pia cha upole wangu..hunaga hiyana my Carleen..

Amen ❤️ Na iwe kama usemavyo kipenzi changu🥰🥰
 
Happiest birthday mrembo. Mkono wa Bwana usikupungukie; ukalindwe na kutunzwa. Mungu akakupe kicheko cha kudumu kwenye maisha yako. Nuru ya Kristo ing'ae kwenye maisha yako.[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Amen!Amen!Amen mama mchungaji wangu..na iwe kama usemavyo mama🥰🥰🥰ikawe heri kwangu🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…