Happy Birthday to Me

Happy Birthday to Me

Ingawa hua sitilii maanani kusherehekea mambo ya birthday ila Mkuu hongera, uishi miaka mingi zaidi kiongozi.
 
Happy Birthday Kijana wa lumumba Buku 7,
Asante kijana wa ufipa kwa mbowe pale kinondoni manyanya.

Unakwenda mahakamani lakini kufuatilia kesi ya Mwenyekiti wetu??
 
Happy Born Day.

How old are you??!
Nimeacha kihesabu muda kidogo.

Nafurahia Neema za Mungu hata kwa kidogo ninachopata.

Thank you for the wishes and God Bless you.

Happy New Year Kasie!!
 
Nimeacha kihesabu muda kidogo.

Nafurahia Neema za Mungu hata kwa kidogo ninachopata.

Thank you for the wishes and God Bless you.

Happy New Year Kasie!!


Okay, heri na kwako pia...
 
Back
Top Bottom