Happy birthday to me

Happy birthday to me

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,753
Reaction score
9,575
Habarini ni jambo la kumshukuru Mungu muumba mbingu na nchi kwa nafasi hii ya upendeleo kwangu kunitoa duniani tarehe kama yale nakumbuka nilivyotokea na amenipa afya tele na kunilinda na mabaya yote ingawaje safari kuna vikwazo vingi ila muumba Mbingu na Nchi amenivusha nafurahia kufikia siku hii muhimu ya kumbukizi ya kuzaliwa kwangu

Marafiki, jamaa na wadau wote ungama nami katika kumbukizi hii maalum kwangu, nipeni vikeki basi mm mtoto mchanga hahaaaa

Nawapenda

Wasalaam;
Ladyf a.k.a mama mfundaji, mama mjasiriamali😂🤣😅
 
Nawashukuru sana wapendwa wangu kwa kunitakia heri katika kumbukizi ya kuzaliwa kwangu Mbarikiwe sana mpaka mshangae hahaaaa
 
Back
Top Bottom