Happy birthday to me

Chakorii

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
18,773
Reaction score
51,429
Leo ni kumbukizi ya kuzaliwa Kwa chakorii..

Karibu tusheherekee pamoja na Gemini.
Kama na wewe unasheherekea birthday yako leo tafadhali mguse Mungu Kwa namna ya kipekee kabisa.Tembelea watoto yatima watu waishio katika mazingira magumu,,kula nao mfurahi.

Mungu akubariki utoapo na upokeapo.

Zawadi zinakaribishwa jaman😉

💃💃
 
Happy birthday Chakorii
Enjoy!
Nikipata kazi itabidi nikutafute mkuu!
 
Hongera, Leo ni kumbukizi ya siku mwili wako ulizaliwa.
Ni ukumbusho kuwa ulikuwa na mwanzo hivyo haina budi kuwa na mwisho.

Basi yatayarishe mapito yako, tengeneza njia yako,
Fanya mapenzi yake aliyekuleta
Onyesha upendo, kuwa chanzo cha furaha kwa wengine
ili ujio wako hapa duniani uache alama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…