Happy birthday to me

Asante mkuu… na Ninashukuru Kwa ujumbe mzuri😍😍
 
Wakati nakimbia kukuletea Maziwa yako nilijikwaa njiani na kumwaga maziwa yote 🤗

Hata hivyo nimesikia nyie Wapare bora mkose maziwa lakini Msikose Makande

Babu yupo njiani kukuletea Makande yako ili kufurahia Siku yako ya kuzaliwa 😜

Heri ya Siku ya Kuzaliwa Mjukuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…