Jamani 😃😃😃Jinsia gani mkuu
Mkuu sidhani Kama ni sahihi, hauoni mwamba ni wa kiume🤔.Jinsia gani mkuu
congrats team July 😊☺️🤗Alooooooo.
Happy birthday to you mkuu.
Mimi pia ni july hero.
Heri ya siku ya kuzaliwa ndugu yangu, tumsifu na kumtukuza Mungu na kuwapa pongezi wazaziNapenda kuchukua nafasi hii adhimu kwa kujipongeza kufika mwaka mwingine tena. nawashukuru wazazi wangu walionileta duniani huko waliko waendelee kupumzika kwa amani. Namshukuru Mungu mwingi wa rehema kwa kuendelea kunilinda pamoja na mapungufu mengi ninayo mtendea kwa namna yeyote ile. Na wale wana JF amabao tumezaliwa tarehe moja hii ya 25/7 pia nawapa hongera. mungu aendelee kutubariki.
happy birthday to me Papag.
ahsanteni na mbarikiwe
Bro we waga ni doggy ya soko🤣😂😂Mwanaume hupaswi kukumbuka hata siku yako ya kuzaliwa
dah, ningekua na hela ningekutumia kavocha😅 ujobless banaJah akibless 2mrw😉
Hope kaelewa mkuu 😀Mwanaume hupaswi kukumbuka hata siku yako ya kuzaliwa