Happy birthday to me

TUMBOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2014
Posts
3,827
Reaction score
2,021
habarini za siku wakuu.....leo ni siku yangu ya kuzaliwa natimiza miaka kadhaa ....namshukuru mungu kwakunifikisha katika umri huu
 
happy birth day bibie! Vipi umeshaolewa ama una mtu wako
 
habarini za siku wakuu.....leo ni siku yangu ya kuzaliwa natimiza miaka kadhaa ....namshukuru mungu kwakunifikisha katika umri huu
happy birthday tatizo namba yako nimepoteza
 
habarini za siku wakuu.....leo ni siku yangu ya kuzaliwa natimiza miaka kadhaa ....namshukuru mungu kwakunifikisha katika umri huu

Happy Birthday dear... I wish you a long life full of happiness and joy and may all of your dreams come true this year!
 
Happy birthday mdada,Taja umr wako basi....mnaficha sana umri cjui kwa nn
 
habarini za siku wakuu.....leo ni siku yangu ya kuzaliwa natimiza miaka kadhaa ....namshukuru mungu kwakunifikisha katika umri huu
HBD mke wangu Miaka mingapi vile???maana naona umekosea ukaandika miaka kadhaa...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…