Bora mshua wako angevaa ndomu tu that day.Wenye birthday zao January tukutane hapa kupeana support na kutakiana heri ya mwaka.
Nilienda kununua card, rudi kwenye post yangu utaiona.Asante sky.
Huyu jamaa na Rohombaya ni ndugu?Wee jamaa wewe! Ila Happy Birthday MKUU, hiyo ni halali yako.