Happy birthday to meeeee!!

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
21,329
Reaction score
28,063
Ndiyo, Leo tar 22/01/2017 natimiza miaka kadhaa ya uwepo wangu huku Duniani.Nawashukuru wazazi wangu kwa usimamizi wa mwenyezi Mungu aliwaongoza kwa kunilea na kunifikisha hapa nilipo.Asante sana baba na mama.
Pia nawashukuru ndugu na jamaa zangu wote bila kuisahau jf kwa kuwa na mchango chanya ktkt kunipa mafundisho na fikra chanya kimaisha,nasema asanteni nyote humu ndani.
Binafsi bado naona nina safari ndefu kwani ndo kwanza nipo katikati ya safari ingawa matakwa ya Mungu ndo huwa kila kitu.Changamoto nilizonazo ni;
1.Kuongeza juhudi ktk utafutaji niyamudu vizuri maisha.
2.Nipate Mke,maana sijaoa bado.
3.Niyatende yaliyo mema kama Mungu apendavyo.
4.n.k

You take away all the other luxuries in life, and if you can make someone smile and laugh, you have given the most special gift: happiness.

Mungu nisaidie,bariki jf members wote pia.
 
Chit chat.....ila ungepost fb saivu ungekuwa na like 200
 
Happy birthday kwako tamuuuu, changamoto kipengele cha pili nioe mimi [emoji85][emoji85][emoji85]
Agness asante sn.Hapo penye changamoto ya pili panahitaji kujuana sn na kumshirikisha Mungu. Pengine twaweza ishi,tuwasiliane mama.
 
Happy birthday my dear... Wish you all the best in your life...

Changamoto zote Mungu akakupe busara na akili za kuitatua. Furaha na baraka visikuache
 
Happy new age Aquarius mwenzangu....tumepishana siku moja tu[emoji7][emoji7][emoji7]Mungu akutunze
 
I wish that I could have this moment
For life, for life, for life
Cause in this moment I just feel so
Alive, alive, alive

I wish that I could have this moment
For life, for life, for life
This is my moment I just feel so
Alive, alive, alive
Mungu akupe Maisha marefu Nigga
 
Happy birthday my dear... Wish you all the best in your life...

Changamoto zote Mungu akakupe busara na akili za kuitatua. Furaha na baraka visikuache
Asante sn valentina,heshima yako sana,amen.
 
One love mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…