Dah...Leo nimegonga mvua 70 na ushee...Nilipotoka ni mbali sana..niliyoyafanya ni machache sana ...ninapokwenda ni karibu lakini nina mengi ya kufanya...muda hautoshi...kichwa kinapata moto...Kitaeleweka tuu ...Dah πππ
Dah....Bado nasonga mbele...nyuma mwiko...mwaka mwingine the umepita.....ninapotoka mbali...nimefanya machache sana...bado mengi yananisubiri...siku za kuishi zinazidi kupungua...I mean nazeeka...nitaota mvi....baadaye nitakuwa na wajukuu...wataniita Babu... Babu... Happy birthday and Long live kwangu... Dah[emoji23][emoji23][emoji41]