Happy Birthday To mimi Khantwe

Happy Birthday To mimi Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
59,415
Reaction score
119,473
Hi Marafiki,
Najua mpo bize na Escrow ila naomba muungane na mimi japo dakika chache kuadhimisha siku yangu ya kuzaliwa.
Namshukuru Mungu aliyenipa uhai hadi kufikia tarehe ya leo ambapo nnatimiza miaka........
Nawashukuru pia marafiki zangu mnaonipa kampani,hakika ninyi ni sababu ya mimi kutabasamu.... Mungu awabariki sana sana.
Napokea zawadi, m pesa tigo pesa zipitie kwa my hubby Ntuzu.
HAPPY BIRTHDAY TO MIMI..!!
cc wote wanaonipenda na kuniombea mema.
NB:
Pia nimtakie siku njema ya kuzaliwa kaka yangu wa ukweli kabisa MO11
 
Last edited by a moderator:
Hi Marafiki,
Najua mpo bize na Escrow ila naomba muungane na mimi japo dakika chache kuadhimisha siku yangu ya kuzaliwa.
Namshukuru Mungu aliyenipa uhai hadi kufikia tarehe ya leo ambapo nnatimiza miaka........
Nawashukuru pia marafiki zangu mnaonipa kampani,hakika ninyi ni sababu ya mimi kutabasamu.... Mungu awabariki sana sana.
Napokea zawadi, m pesa tigo pesa zipitie kwa my hubby Ntuzu.
HAPPY BIRTHDAY TO MIMI..!!
cc wote wanaonipenda na kuniombea mema.

waoh my lovely mom happy birthday to you nakupenda Mungu azidi kukupa maisha marefu ulee wajukuu hadi vitukuu......my lovely husband Mwanyasi kam this way um-wish mkweo heri ya kuzaliwa.....usisahau cheki yake kasema ipitie kwa my dady Ntuzu...... love you my mama....
 
Asante douta...nakupenda pia mwanangu
 
Last edited by a moderator:
waoh my lovely mom happy birthday to you nakupenda Mungu azidi kukupa maisha marefu ulee wajukuu hadi vitukuu......my lovely husband Mwanyasi kam this way um-wish mkweo heri ya kuzaliwa.....usisahau cheki yake kasema ipitie kwa my dady Ntuzu...... love you my mama....

Mtoto wangu janeth1 nakupenda sn nampenda sn pia Mwanyasi

Mtafute mtoto wangu romantic eyes na mumewe First Born waje hapa...!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom