Hi Marafiki,
Najua mpo bize na Escrow ila naomba muungane na mimi japo dakika chache kuadhimisha siku yangu ya kuzaliwa.
Namshukuru Mungu aliyenipa uhai hadi kufikia tarehe ya leo ambapo nnatimiza miaka........
Nawashukuru pia marafiki zangu mnaonipa kampani,hakika ninyi ni sababu ya mimi kutabasamu.... Mungu awabariki sana sana.
Napokea zawadi, m pesa tigo pesa zipitie kwa my hubby Ntuzu.
HAPPY BIRTHDAY TO MIMI..!!
cc wote wanaonipenda na kuniombea mema.
Asante douta...nakupenda pia mwanangu
Thanx honey.... Barikiwa
Mtoto wangu janeth1 nakupenda sn nampenda sn pia Mwanyasi
Mtafute mtoto wangu romantic eyes na mumewe First Born waje hapa...!
Asante babaangu kwa kunipenda Mimi na my husband.... ngoja nimwite Romantic Eyes akuje na my shemeji First Born....