Leo tarehe 9 May ni siku kubwa ya kuzaliwa mtu anayewezesha uwepo wetu humu. Maxence Melo
Tunapata nafasi ya kufanya yote kwa kuwa amesimama na kutupatia uhuru wa kutoa yetu ya moyoni.
Tunakuombea Mwenyezi Mungu aendelee kukupigania na uzidi kutupigania sisi na Uhuru wetu wa kujieleza
Wakuu njooni tuoneshe love kwake Maxence Melo
Tujikumbushe aliposhinda Award ya Committee to Protect Journalists (CPJ) 21/11/2019 akiwa ni Mtanzania wa kwanza kupokea tozo hii na Mwafrika pekee kwa mwaka 2019 kupokea tuzo hii.
Miaka mingi sana kwake amechangia kwa kiasi kikubwa sisi kukutana hapa kubadilishana mawazo...kupeana ujuzi na mengine mengi tu pia kuna baadhi ya familia zimeanzia hapa 😊...jokes apart happy birthday mkuu Maxence Melo