Happy birthday to Paul Makonda

Nampongeza sana na Mungu ambariki
 
Nitumie fursa hii kukumbusha kuwa cheo ni dhamana na uongozi ni zawadi tu kutoka kwa Mungu.

 
Kheri ya siku yako ya kuzaliwa Rc dar es salaam

Kum wish mtu kheri silazima awe rafiki yako Naona mnatokwa na mapovu

Kum wish Rc makonda is part of life na dresturi zetu wa Tanzania kupendana

Mtoto akinyea mkono haukatwi bali unaoshwa na maisha yanaendelea
 
Duuuuuh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! haya mpe hongera zake
 
Happy born day, Mkuu, tunatambua kaz yako, chapaaa kaaazi, watakuja kiyaona matunda baadae
 
Naomba tu siku muhimu kama ya leo nimkumbushe kwamba wanaume hatupakagi poda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…