Happy birthday to the one and only

πŸ˜₯πŸ˜₯ sijawahi kuitwa handsome, sijawahi kutakiwa happy birthday!!, valentine naisikiaga tu,kibamia mimi,mshamba mimi,nikitongoza naambiwa "UNIKOME KAMA ULIVYOIKOMA AWAMU HII"

Nakosea wapi..??
 
Utuambie tarehe yako tukuwish sawa handsome Kenzy


Sent using Jamii Forums mobile app
😍😍 Nipe tabasam lako nikuonyeshe upendo wangu dhidi yako!
Nipe pendo lako nikutunze kwa tuo na pumziko la huba!
Nipe nafasi yako niitwae Pete kwenye kidole chako!
Nipe joto lako nikupe kilele kitamu Cha hisia zako!
Nipe moyo wako niitoe tabu ya maisha, maishani mwako!
Nipe mwili wako nikupe pumzi ya upendo ktk enzi na enzi tangu utokako!
Nikusheshe kwa huba stahimilivu,niziondoe pupa dundulivu
Niite wako mpenzi nije nikuenzi Tena kwa tenzi kutoka kwa kenzy..😍
 

Shairi la nani hili [emoji111]️🀣


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…