Happy birthday to the one and only

Usimfanyie hivyo kenzy


Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu nibembelezee kimwana huyu maana kabishi utafikiri kanakulaga ubishi na mboga yake😂
@KENZY hataki kusifiwa nmeona hili linamfaa
👆👆
Usiwe mbishi nipe sifa zangu shauli yako usije ukaacha mbachao kwa msala upitao!!

Nataka nafasi ya upendo wangu niishushe kwako!
Nataka nikupe furaha ya mahaba mahabuba!
Ndimi wako wakili nipe nikusitiri😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…