Happy Birthday to you Comrade Paul Makonda

Mi navojua mkuu wa mkoa dar anaitwa Paul Makonda, ila huyo D.A.B ambaye ni wa kusadikika aliyeibuliwa na "mchungaji mla kondoo" na kukuzwa na malaya wa kibongo aishie USA kwa Pompeo hahusiani kabisa na huyu P.C.M...

hatuwezi kuwa tunapata taarifa kutoka kwa "watu wa hovyohovyo" kma hawa makahaba wawili
 
Hiyo birthday ni kwa mujibu wa Makonda au Bashite ?
 
Kawa mkimya, hata huku online hayupo siku hizi,anyway happy birthday
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…