Ahsante sana shemeji.Hata mimi nilikuwa najitafuta,nimejikuta nipo huku kwenye basidei yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] . Hongera kwa kuzaliwa leo shemeji yangu.
Mungu akuangazie nuru ya busara,hekima na afya njema
Hebu tuma hela basi, usinidanganye danganye nikaja kusahau bureee!!!Khaaa leo unaniumbua wazi wazi hivi kweli sista, mbona unanisitiriga?!
Usijali, nikikuita babu ujue dakika 5 nyingi utafunga pm mweyewe.Wachaaaa weeee... kwahiyo uanze kuniita babu
Kuunguza ni pesa zinateketea hivoMie hadi mwaka uishe ndio nitatrade. Alafu walisema kuunguza ndio kujifunza.
Huh!!! Cake twende ukale nyumbani.Hivi umekuja na ka cake? Au
Maaana
Kiduku alivyokuteka hadi tunamuonea wivu. Nami tanyoa kiduku basi.
Teh teh teh kwamba ntakimbia mwenyeweUsijali, nikikuita babu ujue dakika 5 nyingi utafunga pm mweyewe.
Jamani japo kwenye lugha nimeelewa ng'wanike tu ila picha nimeielewa. Shukrani mpendwa.
Kulagha uhangame ng'wanike!
Si ndio kujifunza jamani? Baada ya hapo nitakuwa napiga M60 kwa wiki kiulainiiii.Kuunguza ni pesa zinateketea hivo
Ooh yes, i love you too![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
You cant be serious!! Nilijua tu lazima ulete uabunuasi!! Kaone
Hehehehehe maninaaaaSi ndio kujifunza jamani? Baada ya hapo nitakuwa napiga M60 kwa wiki kiulainiiii.
Haha usiombe akutolee showWaha we!! Kaanza lini kutoa show[emoji23]
Nalendwa kumbe una vipaji nisivyovijua!!
Sasa wasukuma na wakorea wapi na wapi jamani!![emoji3] [emoji3] [emoji16]
Naona dogo kapenda wa Korea wenzake zaidi!
Fursa zitamiminika tele.Teh teh teh kwamba ntakimbia mwenyewe
Huh!!! [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Ooh yes, i love you too!
ππππ
Fanya namna nitokelezee jangid tupige hela basi.Hehehehehe maninaaaa
Matatizo yaliniandama. Mungu ni mwema hali imerudi ya kawaidaAhsante sana shemeji.
Usiwe unapotea hivyo bwana.