Happy birthday Tundu .A. Lissu

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
29,909
Reaction score
32,414
arehe kama ya leo mwaka 1968, ulimwengu ulishuhudia kuzaliwa kwa mwanasiasa na mwanasheria nguli Mheshimiwa mbunge Tundu Antiphas Lissu.

Nitumie nafasi hii kumtakia miaka 100 zaidi na kila la heri katika safari yake yakuwatetea wanyonge, Mungu akubariki katika kila hatua upitayo.
 

Attachments

  • 220px-Tundu_A._M._Lissu.jpg
    7 KB · Views: 29

Picha ya Kampeni 2020


Siku kama ya leo miaka 51 iliyopita (mwaka 1968) Mungu aliipa Tanzania zawadi. Zawadi hiyo ni mtoto ambaye wazazi wake walimuita Tundu. Amededicate maisha yake yote kusaidia watu. Aliletwa kwa kusudi maalumu, na anaishi kutimiza kusudi hilo. Si Rais wa nchi, Rais wa TFF wala Rais wa Manzese watakaoweza kuzima kusudi hilo.

Mwaka juzi (2017) hayawani wachache, wenye roho za kinyama wakiongozwa na hayawani mkuu walijaribu kuzima kusudi hili la Mungu. Risasi 17 za SMG mwilini, huku nyingine 19 zikimkosa lakini hawakuweza kutimiza mpango wao huo wa kishetani. Mungu akasimama na kuonesha ukuu wake.

Nilipomtembelea Nairobi nilimwambia 'wewe ni muujiza unaoishi (a living miracle). Mungu alikuleta duniani kwa kusudi maalumu na hutaondoka hadi utimize kusudi hilo. Najua wapo wanaonuna kusikia hivi, na tumeanza kuwaona wakiandika 'viwaraka uchwara' vya kinafiki kujifanya eti wamekumiss baada ya kupona. Mungu atawajibu kwa moto.

Heri ya siku yako ya kuzaliwa my brother. Mungu akujalie maisha marefu utimize kusudi lake. Happy birthday the living miracle Tundu Lissu

Credit Malisa GJ
 
HAPPPY BIRTHDAY HON TUNDU LISSU, GOTT SEGNET SIE( god bless you)
 
Lilikuwa ovyo tangu zamani ndio maana wakamwita tundu walahi
Duh
Sasa ni tundulissu msaliti walahi
 
Nakuwa mtu WA tano 5 kumfikishia salamu za heri ndugu lisu long live comrade
 
Hbd rais wetu 2020, Mungu Akubariki kwa Baraka Zote za Mwilini, Akilini na Rohoni, laana ya Mungu iwe Juu yao wote waliokuwa na nia mbaya juu yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…