Happy birthday Tundu .A. Lissu

Picha ya kampeni
 
HBD Tundu Lisu. Mungu akupe maisha marefu kuliko wabaya wako. Uishi mpaka ushuhudie vifo vyao wote!
 
Leo hii yule nguri wa sheria na kiboko ya wapindisha sheria na mnadhimu wa upinzani hapa Tanzania mh Tundu Lissu ameadhimisha siku yake ya kuzaliwa hivyo basi kwa umoja wetu tuseme HAPPY BIRTHDAY TO MH LISSU

In God we Trust
 



In God we Trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…