Ha ha ha ha kwenye cake hujamjua vzursio mchoyo mbon dada angu emmyta
njoo bwana usogope
Ha ha ha ha i will be there hata kabla hujamaliza sentence ya kukarbsha ila nihakikishe usalama kwanzamjoo bwana usogope
usalama upo njoo tuHa ha ha ha i will be there hata kabla hujamaliza sentence ya kukarbsha ila nihakikishe usalama kwanza
We kwa yale maneno na ile dedication aliyoweka jana kabla hajaitoa unafikr hapo kuna usalama wa nafs yangu kwel?hahaha njoo bwana wala usogope rogie njoo utoe Bonny hofu huku
cc rogie ukuje hukuWe kwa yale maneno na ile dedication aliyoweka jana kabla hajaitoa unafikr hapo kuna usalama wa nafs yangu kwel?
Afadhal u mcc akuje kwanza atoe ruhusa ndio nijecc rogie ukuje huku
ngoj nimuite tena rogie pita hukuAfadhal u mcc akuje kwanza atoe ruhusa ndio nije
Ha ha ha ha ila Mzee kwann umefanya editing ya Post?Hahahahahaha
Nmeambiwa wewe ndio mtoa ruhusa kwenye ile cake ya taifa nahitaj maneno yako hapa?Karibu sana Bonny
bonny njoo uone rogie amekukaribisha huku kwa hiyo kuwa free sasKaribu sana Bonny
Afadhal aiseee amekuja hapa akitoa ruhusa tu utankuta nakusubirngoj nimuite tena rogie pita huku
hahaha bonny anataka ufafanuz mpenz hebu mfafanulieNimekuja, nambie mpenzi.