Happy birthday Vincenzo Jr

Hakunaaaaaaaa
 
Bila kuona comment ya tajiri kubwa Bantu Lady sitoridhika kabisa 😎
Jamani jana nilikuwa busy, sikuingia humu. Happy belated Birthday mzee wa Kigamboni Vincenzo Jr Miaka mingi kwako, na ndoto yako ya kufika Italy itimie πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… πŸŽ‚πŸŽ‚πŸŽ‚πŸŽ‚πŸŽ‚πŸŽ‚πŸΎπŸ₯‚
 
binafsi sijawahi kukata keki ya siku ya kuzaliwa

naelewa kitu unachokizungumzia mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…