Happy birthday VVM! Yes happy birthday to me

Happy birthday VVM! Yes happy birthday to me

Ndengaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Posts
7,831
Reaction score
14,259
Namshukuru Mungu leo nimetimiza miaka kadhaa, ni jambo la kumshukuru mwenyezi Mungu kwani wengi niliokua nao katika hii safari hawapo tena! Kwa wale waliopo Mwanza sherehe yote itakua pale chanya Nyakato karibuni muje mukule na mukunywe kwa bili zenu!!!!
 
HBD mkuu! Ingawa location ya mualiko umeitoa ili kuondoa lawama!
Chanya nyakato iko wapi?
Toa maelekezo vizuri mkuu nna hamu sana na pilau nyama
 
Back
Top Bottom