Namshukuru Mungu leo nimetimiza miaka kadhaa, ni jambo la kumshukuru mwenyezi Mungu kwani wengi niliokua nao katika hii safari hawapo tena! Kwa wale waliopo Mwanza sherehe yote itakua pale chanya Nyakato karibuni muje mukule na mukunywe kwa bili zenu!!!!