Happy Birthday WiseLady!

Napenda kuchukua nafasi hii kukutakia heri ya kuzaliwa.Mungu akupe maisha marefu ya furaha na yenye baraka tele,
Furahia siku yako ya leo kwa upendo na amani! Tupo na wewe pamoja! Mungu akuzidishie busara zaidi!

amen swithat,asante sana bless u abanduntly
 
amen swithat,asante sana bless u abanduntly

Ebo....hili toto limezaliwa leo na leo hii hii limeshaenda gesti afu linapost Via Mobile.

Dunia inakaribia mwisho wake asee:smash:
 
nitakuwa mchoyo wa fadhila katika uso huu wa dunia endapo sitakutakia maisha mareeeeeeeeeeeeefu, remember to keep up ur wise. Wiseboy+wiselady=Proper thinking and decissive generation.
 
nitakuwa mchoyo wa fadhila katika uso huu wa dunia endapo sitakutakia maisha mareeeeeeeeeeeeefu, remember to keep up ur wise. Wiseboy+wiselady=Proper thinking and decissive generation.

Aisee dogo, mbona unaingilia himaya ya babu bila kupiga hodi.

This is wiselady and not wisegirl.

Wiselady belongs to babu and aonly him.

Yours is Wisegirl:

Wiseboy + Wisegirl= ?
 
Ebo....hili toto limezaliwa leo na leo hii hii limeshaenda gesti afu linapost Via Mobile.

Dunia inakaribia mwisho wake asee:smash:
Babu hebu vuta subira kidogo nambadilisha nepi hapa, then nakuletea kajukuu kako ukabebe!
 
I cant believe this!
How did Kimey know it, and not me!!!?...i must investigate this using my intelligence, and everything will be out in Wikileaks soon!!

BTW, congrats so much dear Wiselady!...OUR Mom, without knowing it, did a very commendable job kukuzaa wewe!
Nishaagiza miguu miwili ya nyuma pale kwa Mromboo, will take you there soon!
Achana na ID yenye maandishi mekundumekundu ya hatari!
 
Babu hebu vuta subira kidogo nambadilisha nepi hapa, then nakuletea kajukuu kako ukabebe!

Aisee.......naona wote mnaposti via mobile....hebu maliza yeye haraka aje am-masaji babu kiuno yake bana
 
Happy birthday WL, may this day always be a special one to remember.
 
HAPPY BIRTHDAY
Mama Wa Busara
Mwenyenzi Mumgu
azidi kukuongezea
Maisha marefu
yenye amani, busara,
Hekima , upendo na matumaini
Amen..

amen afro wangu,nakuombea mema hope utakuja na ze most fainesti for a cheer
 
Hahaha PJ bana, we unatumia wikiliksi mi natumia monthliks!
Hapo kwenye miguu ya mbusi panahusu sana ntamsaidia babe girl kutafuna.
 
Ebo....hili toto limezaliwa leo na leo hii hii limeshaenda gesti afu linapost Via Mobile.

Dunia inakaribia mwisho wake asee:smash:

afu nahisi kukupenda cjui ndo nakua!fanya ukaguzi basi
 
Aisee.......naona wote mnaposti via mobile....hebu maliza yeye haraka aje am-masaji babu kiuno yake bana
Babu hicho kiuno kinahitaji maombi!
Njoo upatiwe maaombi, njoo upatiwe maombezi babu, njoo uombewe!!
 
thx loads mydr,,,najua kwa mrombo inanihusu leo vinginevyo ntanuna🙂
 
Babu hicho kiuno kinahitaji maombi!
Njoo upatiwe maaombi, njoo upatiwe maombezi babu, njoo uombewe!!

well said lkn ntachanganya na massage kdg for a quick relief :-d*
 
Happy Birthday WiseLady
I wish you Long live, Success,
Love, Peace, Harmony
and Happiness.

Be Blessed Dada!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…