Happy Birthday WiseLady!

asante dearest,,,swala la pilau kuliwa wapi afro ana maagizo yote pia pj anaandaa katafrija hapa ingawa kana harufu ya uchoyo,,lol
Aisee kuna mtu ameniambia ndio umegonga SWEET 16
 
Hongera sana WL kwa siku yako ya kuzaliwa...Nakuombea baraka tele za Bwana, na akupe haja ya moyo wako!

Barikiwa sana dear!
 
amen keren,naamini imekuwa in the might name,,,blessings

Ohhh!! kumbe nilikuwa sijamalizia....ni kweli kabisa ni katika Jina lipitalo majina yote.... na katika Jina hilo tunaokolewa..AMEN!

Enjoy your day dear!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…