happy bday sweetie ningekuja hapo kujumuika ila niko kitandani naumwa mamy,enjoy
Napenda kuchukua nafasi hii kukutakia heri ya kuzaliwa.Mungu akupe maisha marefu ya furaha na yenye baraka tele,
Furahia siku yako ya leo kwa upendo na amani! Tupo na wewe pamoja! Mungu akuzidishie busara zaidi!
Hongera wiselady kwa kutimiza miaka 70....ama hakika sasa unakula pension tu ya umri kama visemavyo vitabu vya mungu
Happy belated birthday mama.
At this age of 55 yrs, mlimani is the right place for you!!😛ray:
Hivi nani alitoroka na keki iliyobaki jana??
Hivi nani alitoroka na keki iliyobaki jana??
Gmorning!
Kumbe keki ilisalia basi naomba munionjeshe manake jana sikuwepo kabisa mji huu.
Happy birthday WS (Haka kama ni kiporo)
Mungu akujalie wana wengi
Napenda kuchukua nafasi hii kukutakia heri ya kuzaliwa.Mungu akupe maisha marefu ya furaha na yenye baraka tele,
Furahia siku yako ya leo kwa upendo na amani! Tupo na wewe pamoja! Mungu akuzidishie busara zaidi!
Hongera Wiselady kwa kujifungua salama.
Siku nyingine uwe unatumia kondom!
Nimechelewa...dah...
Hivyo hivyo....
Happy birthday WL......zidi kupanda juu...!
Hivi nani alitoroka na keki iliyobaki jana??