D
Deleted member 485868
Guest
Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa kibali cha kuongeza mwaka mwingine.
Happy birthday to me
Happy birthday to me
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwewe hapo umechelewa kum wish, haya sasa ukuje na keki dada mtuDuuh! Jamaani mdogo wake mie ndio nini sasa kujiwish mwenyewe sa. [emoji17]
Heri ya siku ya kuzaliwa Mdogo wa mie. Nakuombea kwa Allah akupe Umri mrefu, pia akupe kila la kheri katika maisha yako ya kila siku. Insha Allah.
Keki kwangu. [emoji85]
Najua Wajua Weekend ilivyo na mambo mengi Sesten. Anisamehe tu Dada ake kwa kweli.Siwewe hapo umechelewa kum wish, haya sasa ukuje na keki dada mtu
Happy birthday yna4.Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa kibali cha kuongeza mwaka mwingine.
Happy birthday to me
Nilijifunzaga kwa babu Asprin na Bibi Sky😛😀
Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa kibali cha kuongeza mwaka mwingine.
Happy birthday to me
Usijali Hajar maana wanatumia zile formula za Ras Simba za N+V+T alizokuja nazo toka kwa Malkia, usipojua kiinglishi ndani ya wiki moja anakulaani eti hutajua tena labda ukazaliwe upya palepale London!!! wanambwembwe🙂🙂🙂🙂Na mie mnifundishage jamaani. [emoji85]
Mie niko poa kabisa namshukuru Allah. Ndio naiandaa huku.
CC. Babu Asprin.
naona hataki public sympathyHappy Birthday shemelaaa
Vladmir amefanya kosa kubwa sana hapa