D
Deleted member 485868
Guest
- Thread starter
-
- #221
Unaambiwa jihadhari kabla ya hatariKumbe mjanja eeh! Salutiii
Hahahaaa, cha kidigo kabisaa....."teee huyu apenda mwendo kaa nini' mwisho wa kunukuu😛mtoto wapenda mwendo wewe haya jiandae mdogo wangu[emoji23]
Hiyo kumi na mbili yako imenifanya nicheke mpaka dogo kauliza nacheka niniHahahahahahaha
Wauliza ngisi kwa Babu Juma? Ndo maana yeke hiyo atii, urojo jioni kama dawaUnaambiwa jihadhari kabla ya hatari
Vipi jioni tutaeanda kwenye urojo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]itabidi nikaurudie wallah au ngoja nimpe hajar aperuzi mojamoja
Ooooh jitahidi unifichie kale kabia au kakonyagiMm kwenye vinywaji kaka
nakazia hapo[emoji23] [emoji23] [emoji23] najitahid kweli kubadili hich kiswahil lkn daaah[emoji30] [emoji30]Hahahaaa, cha kidigo kabisaa....."teee huyu apenda mwendo kaa nini' mwisho wa kunukuu😛
Wewe wa kwetu eeeeehHahahaaa, cha kidigo kabisaa....."teee huyu apenda mwendo kaa nini' mwisho wa kunukuu😛
ngoja nimwendee hewani sasa hivi looh sitaki kupitwa na vitu vya msingi mimiHahhha hajar kapita kasoma kimyakimya kaelewa
Hahahaha Cheka tu mkuu..mwenyewe nilivyoona umecheka ilinibd nicheke tu hapaHiyo kumi na mbili yako imenifanya nicheke mpaka dogo kauliza nacheka nini
umemuonaeee ajificha bure tu raha leo moja tuWewe wa kwetu eeeeeh
Kitengo chako Tafadhali maana mi nitachelewa kufika ili nikupe maagizo ya kitengo utakachi kuwepoWewe wa kwetu eeeeeh
Kitengo cha vinywaji nitasimamia hapo kakaKitengo chako Tafadhali maana mi nitachelewa kufika ili nikupe maagizo ya kitengo utakachi kuwepo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahsante sanaHappy birthday kwako MUNGU akupe miaka million, billion, trillion, zillion na xillion
kwani hajafika tu hapa maan nimemtoa jikoni hukooSawa jirani nipo naangali Sufi inayo fanana na ukumbi maana ndugu yangu
Hajar kaniambia aina ya kitambaa kitakacho tumika ukumbin ameniamabia yeye mwenye kiti wa mapambo