Aje hapa amuwish mbebez wake@hearly nimekutana nae mtaa wa tatu huko
Aamyn tubarikiwe soteThank you mumy..Godbless you
Nliwaona sehemu nkasema lol.
Maana nilipita kimya kimya mwishowe nikapaliwa sijui kama hamkunisikia maana nilikohoa acha tu. [emoji2] [emoji2]
CC. Shunie
Nlijua tu. Haya pole kwanza.weweee sijalala ujue nimetangwa na roho usik kucha
SitaniiAcha masialaa wew etiiiiii.....?
usijal mdogo wangu tuombe uzima tu ila leo tunashinda pamoja humuJamani tunapishana tu naonaga likes tu nimekuhamu sana tutaonana dec
usijal mdogo wangu tuombe uzima tu ila leo tunashinda pamoja humu
Umejuaje kama ye ni mrembo au mnafahamianaHappy Birthday mrembo
Mhh umeanzaHappy Birthday shemelaaa
Vladmir amefanya kosa kubwa sana hapa
walau moyo umepoa ila agggrrrrrr raha ya chips iwe ya moto bwanaNlijua tu. Haya pole kwanza.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Naja tuzoze roho ikutulie.
wapi leo nataka nikutoe leo[emoji4]Asante dada akee [emoji8] nafurahi kusikia hivyo
upewe siku zilizojaa furahaNamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa kibali cha kuongeza mwaka mwingine.
Happy birthday to me
Sjasema usitoe, hapo kwenye vlad sjui nn lakini nam ni mbea sanahata wishes nisitoe beb
eeh! haya napita mimi
Hahaaaa. Itakuwa ndugu yangu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ulipita kimyakimya wallah kikohozi sijakiona
Aminaupewe siku zilizojaa furaha
miss you mnooo wew mtu aiseeupewe siku zilizojaa furaha
Hahaaa. Itakuwa wapenda kuungua sio bure mdogo wangu.walau moyo umepoa ila agggrrrrrr raha ya chips iwe ya moto bwana
hahhhh natamani masaa yaende ili utii kiu yanguHahaaa. Itakuwa wapenda kuungua sio bure mdogo wangu.
Nitaipasha wala usijali. [emoji23] [emoji23] [emoji23]