Ngoja niliwashe ngalangala Langu bas hapa nianze kujaMzee mwenzangu jisogeze karibu hapa via via baada ya kagiza kuingia.....
mm siji kwenye boga bora nimwambie manga twende Coco tukale mihongo [emoji23][emoji23] kama jina lakeNafikiri anajiandaa ili akupitie..stay tuned
Mzee hizi keki mlilia wapi mbona sina taarifa nazo!mchoyo ww mbona cake yangu ulikula
Njoo nkupe cake yako bas
Ha ha ha team work chief[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haujawahi niangusha.
kwenye birthday yanguMzee hizi keki mlilia wapi mbona sina taarifa nazo!
Ehee kwel cake yak nilikula tena ilikua lainiiiii cake isiyoozamchoyo ww mbona cake yangu ulikula
cake ganiNjoo nkupe cake yako bas
party haipendezi bila wazamiaji ila nyie ni wachoyoHaha.. boga ni code maana wazamiaji wengi aseeh
mmhNgoja niliwashe ngalangala Langu bas hapa nianze kuja
uchoyo tuHa ha ha team work chief
Ha ha ha cake yake tamu acha tu mzee lainiiiiMzee hizi keki mlilia wapi mbona sina taarifa nazo!
ushawahi kuona cake inaozaEhee kwel cake yak nilikula tena ilikua lainiiiii cake isiyooza
Cake isiyooozacake gani
Tehteh ni kama ile mtoto atoke na sahani iliyopasuka sebuleni wageni wakiwepo. .hiyo kelele ya mama rudisha hilo lisahani la paka haraka kumbe dogo anailia daily.Ha ha ha team work chief
Huna besidei tena unipe kale ka cakekwenye birthday yangu
sina mm sio Daby kila mwezi birthdayHuna besidei tena unipe kale ka cake
Khaaah unadai ya birthday. Basi uje tukugawie size uliyompakwenye birthday yangu
H ha ha ha nyengne zinaoza huzjui enhee au zinakua ngumu kama half cakeushawahi kuona cake inaoza
ulifkili nadai cake gan, mm siji sili boga mlisheni bonny kwa niaba yanguKhaaah unadai ya birthday. Basi uje tukugawie size uliyompa
Namuona si namwonaga... inaonekana tamu haswa stori hizi zinahitaji Heineken pembeni mzeeHa ha ha cake yake tamu acha tu mzee lainiiii