Nawashangaa, wakae na uchoyo waokwani sisi kuja kwetu tulikua tunategemea usafiri wa mtu
hahahahhhhhTafuta sumda mkuu uteme nyongo yote.
We mchoyoNifaten mm niwapeleke mbna hvyo lakin
sijui pa kumpata ila atakua kwenye uzi wake kule hatokiMtafute basiii
Ebu mchungulie asije tapika utumbo huyo jamaahahahahhhhh
Tuachane naohahahhh we mtu gani mara haeleweki anavyoongea akikaa kidogo anaongea vizuri kakutana na msanii kwenye jumba la sanaa
Ngoja niliwashe ngalangala Langu bas hapa nianze kuja
TakiiiiHa ha ha ha poleee twende nkupeleke ukale mwaya
hivi mbona pm umeniweka dadaNawashangaa, wakae na uchoyo wao
Sawa, tusiandike chochote. Tuwaache. Twende zetu mwayaachana nao dada angu hakuna cake hapo
weeh mm natembea na hela hunitoi bila helaDawa yake kumwacha sehemu ya tukio.
hahahhhhhEbu mchungulie asije tapika utumbo huyo jamaa
Siendinakuja na sakayo
tuondoke tuwaache uchoyo tuSawa, tusiandike chochote. Tuwaache. Twende zetu mwaya
Basi huwa unazinywea nyagi hadi zinaisha.weeh mm natembea na hela hunitoi bila hela
sinywi nyagi mmBasi huwa unazinywea nyagi hadi zinaisha.
Kumbe nawe una kauchoyooo ulimnyima daby!kwenye birthday yangu
[emoji15] [emoji87]Ehee kwel cake yak nilikula tena ilikua lainiiiii cake isiyooza
nilimnyima sbbu hajajua nilikua sina wa kuniwish [emoji23][emoji23] kama yy alivyowishiwaKumbe nawe una kauchoyooo ulimnyima daby!
SijiiShemeji naona unatumia fursa hii kwenda kumwona swahiba maana umemmiss pamoja na viungo vyake shemeji.