Sumbai cheza na ile code iliyotajwa nyuma.....
Mzee mwenzangu Nashukuru saana pia asante kwa muumba kwa kuendelea kunipatia uhai bwana.Mtu wangu wa nguvu umezaliwa leo hongela sana upate kuishi palefu
Shunie ndo tabibu wanguSasa shem unanuna nani akutulize babu hayupo jamani.!
Acha kumsingizia mtoto wa watu.Nimekopi from kisura tena
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Bonny mwenyewe birthday yake alituchinjia baharini
Kila la kher naona unaendelea kubebika hongela tenaMzee mwenzangu Nashukuru saana pia asante kwa muumba kwa kuendelea kunipatia uhai bwana.
Shunie ndo tabibu wangu
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Ha ha ha ha mje niwapeleke mje na naul zenu mazoea stak
Tehteh... acha tu nibebike siku yenyewe inaruhusu. Tena anayenibebisha anapenzi sio lakisportKila la kher naona unaendelea kubebika hongela tena
Kweli kabisa nikuache uendelee natamani niwepo ila mikono leo haitakiTehteh... acha tu nibebike siku yenyewe inaruhusu. Tena anayenibebisha anapenzi sio lakisport
Nauli umebebA?!Wapi hukoo
[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji24]Inaelekea humpendi mpenzi wako.unatumia kiwakilishi ktk mapenzi. Mtaje jina lake kama unampenda kweli tena majina matatu bila kusahau ukoo wake.Eg Happy birthday my love John Maulid Bashite
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] hiyo bashite
MPE poleKabisaa, linaniumiza sana
Tatizo hawAna nauli[emoji38]Nifaten mm niwapeleke mbna hvyo lakin
nakunywa matapu tapuUnakunywa nii
Matapu tapu makatabreak au ngedure?
Kumbe ndio zake[emoji38]Mzee wa boda Nan asiekujua ukifka muda wa kuondoka unazuga umezima ili ufikishwe nyumban
hahahhhhMara mlaini Mara kauzu
Which is which?
Mkuu nilikuwa arusha huku leo network ilikuwa taabu kidogo.Dr.adams faida Upo pori gani wewee?? Njoo tunenepe huku,
nakujaTwende sasaaa