happymwashi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 980
- 846
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heri kwako tajiri ishi sana huna baya✌️Happy birthday to me View attachment 2597589
Muache Dada wa watuHongera ila Wigi kama kofia ya bruce lee
Samahani sana kama nimekukwaza,nisamehe mkuu...sikudhamiria kabisa na sikudhani kama ungejisikia vibaya..nisamehe sana mkuu..Muache Dada wa watu
Yameisha Mkuu..basi tu nilijiskia vibaya juu yake🤗🤗🤗🤗🤗Samahani sana kama nimekukwaza,nisamehe mkuu...sikudhamiria kabisa na sikudhani kama ungejisikia vibaya..nisamehe sana mkuu..
Wako mtiifu..