mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Tulisahau kukuwish tarehe 13 tulikuwa na mambo ya msiba.
Heri ya kuzaliwa kwa mwamuzi bora zaidi katika historia ya soka Ulimwenguni, Pierluigi Collina ametimiza miaka 64 leo. 🎂🇮🇹🤝
Mwamuzi huyu anaongea lugha nne (Kifaransa, Kihispania, Kiitaliano, na Kiingereza).
»Kabla ya kila mchezo, alisoma (Tabia) wachezaji wa timu alizokwenda (Kuchezesha) ili asipate nao tabu.
PILATO KUTOKA ITALIA