mtwa mkulu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 8,586 Reaction score 11,227 Feb 19, 2024 #1 Tulisahau kukuwish tarehe 13 tulikuwa na mambo ya msiba. Heri ya kuzaliwa kwa mwamuzi bora zaidi katika historia ya soka Ulimwenguni, Pierluigi Collina ametimiza miaka 64 leo. 🎂🇮🇹🤝 Mwamuzi huyu anaongea lugha nne (Kifaransa, Kihispania, Kiitaliano, na Kiingereza). »Kabla ya kila mchezo, alisoma (Tabia) wachezaji wa timu alizokwenda (Kuchezesha) ili asipate nao tabu. PILATO KUTOKA ITALIA
Tulisahau kukuwish tarehe 13 tulikuwa na mambo ya msiba. Heri ya kuzaliwa kwa mwamuzi bora zaidi katika historia ya soka Ulimwenguni, Pierluigi Collina ametimiza miaka 64 leo. 🎂🇮🇹🤝 Mwamuzi huyu anaongea lugha nne (Kifaransa, Kihispania, Kiitaliano, na Kiingereza). »Kabla ya kila mchezo, alisoma (Tabia) wachezaji wa timu alizokwenda (Kuchezesha) ili asipate nao tabu. PILATO KUTOKA ITALIA