haha! mi ninacho chombo huria kinapenda tabia zangu sina haja ya kujirekebisha, nyie huyo mdogo waketafutieni jambazi mwengine huko wanyooshane..๐Shemeji yako ana mdogo wake.. Jirekebishe kwanza unaweza kufikiriwa๐
Wee utakhwa kapuku kama mie tuu.Hivi kwanza hua wanajuana aje humu mkuu...๐ค
Happiest Birthday Mackie wangu..!โค๏ธMy Birthday mate....
Happy Birthday to US Babe...
haya maandazi ya humu huwa hayaelewi, laiti wangejua potential people walioko humu, wangeishi na watu vyema..!!๐Sema hauja bahatika tu.
Humu kuna watu wa maana sana trust me...
Thank you Babe...Happiest Birthday Mackie wangu..!โค๏ธ
Looh ๐Yangu ni leo Bae...
Juu huko panda utaoni tumejiwish...
Halafu kaka mkubwa nimekumbuka jambo hivi kumbe avatar yako ni ya temineta?๐ ngoja shindikanaa Aje atolee ufafanuzi hili๐
Leo nina excuse ya kutokuongea sana๐
Mambo yanabadilika twinThank you twin....
Na nakumbuka kwenye Uzi wa selfika tulikuwa tunajiwish...
Ni nini siku hizi tumesahau twin?
Au Penzi limekolea sana๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃbhaaaaaanaLooh ๐
Hukuniambia Bae ningekuanzushia uzi wa kukuwish kwa kilugha cha Kisukuma kabisa ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Kiburu kina kakiburi fulani ukishashiba wa kwetu๐๐Leo nina excuse ya kutokuongea sana๐
Hutaki kabisa kuongea shem? Nini kimekukuta?๐Leo nina excuse ya kutokuongea sana๐
๐ ๐ ๐Mambo yanabadilika twin
Global warming ๐ ๐ ๐
Leo mimi ni Birthday gelo..Hutaki kabisa kuongea shem? Nini kimekukuta?๐
Hilo nalo neno, sasa tutafute location watu wakate keki na kupiga cheers basi๐Leo mimi ni Birthday gelo..
Hebu organise basi Shem Bae...Hilo nalo neno, sasa tutafute location watu wakate keki na kupiga cheers basi๐
Huo usaliti umeuanza lini.Awwww
Thank you so much my love ๐๐๐๐
I love you more than the words can explain