Happy bithday to me!

Happy bithday to me!

Zuriel_cfc

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Posts
4,092
Reaction score
9,063
Asante Mungu kwa kuniongezea mwaka mwingine,

Asante kwa kila kitu katika maisha yangu, furaha, huzuni, majuto, maumivu, afya njema, ugonjwa n.k, naamini kila ninalokutana nalo kwenye safari hii ya maisha, ni sehemu ya kujifunza, kufunzwa, kuonywa na kukomaa kimwili na kiakili...

Help me to be good to people, and to be kind and to always put u first in my everything...

Happy bday to me!!
FB_IMG_1558945962445.jpeg
 
Niliifurahi familia moja wanafurahia birthday ya kila member.kwao birthday kila mmoja wao anatumia kujitathimini ameendaje mwaka mzima,,,pili kumshukuru Mungu kwa kupewa hou mwaka ulioisha,,,tatu kumwomba Mungu miaka mingine ya kuishi na kufanya mapenzi ya Mungu.

Happy birthday my brethren.ukaishi ukazifurahie siku ulizopewa na Mwenyezi MUNGU.
 
amen, thanks brethren
 
Back
Top Bottom