Happy born day Mwamba Mbowe

Happy born day Mwamba Mbowe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Leo ni siku yako ya kuzaliwa na unaiadhimisha ukiwa jela kutokana na kupigania Uhuru wa Nchi yako.

Mungu akupe maisha marefu

Leo_Septemba_14,_2021_ni_Kumbukizi_ya_siku_ya_kuzaliwa_mwenyekiti_wa_Chama_Mhe._Freeman_Mbowe,...jpg
 
Toka mwamba anazaliwa nchi ilikuwa na shida ya maji chini ya lichama la mataahira hata kampeni ya 2025 yatapanda majukwaani kusema tutaleta maji pumbavu kabisa Yani miaka 65 baadae bado yameshindwa kusambaza maji wakati wamedhibiti rasilimali zote za taifa kwa miaka 65 mashetani wakubwa.
 
Mkewe na watoto wake sijui wapo hali gani kuona mume/baba ana sherehekea siku yake ya kuzaliwa jela. Tena kwa tuhuma za kusingiziwa.

Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Ni heshima kubwa kwamba F.A. Mbowe ndio amebeba matumaini ya watanzania wapenda Demokrasia na Uhuru wa kweli. Yuko mstari wa mbele na ndio maana mishale yote ya sumu inaelekezwa kwake.

Ee Mungu, Mweza yote, umpe nguvu kamanda wetu, uifariji familia yake na wapendwa wake. Umrudishie mara mia kwa kujitolea kwake. Damu iliyomwagwa katika mapambano haya, isipotee bure, bali uitakase iwe sehemu ya gharama ya ukombozi wa Taifa ketu, wala isiwe sababu ya laana kwa Taifa
 
Ni heshima kubwa kwamba F.A. Mbowe ndio amebeba matumaini ya watanzania wapenda Demokrasia na Uhuru wa kweli. Yuko mstari wa mbele na ndio maana mishale yote ya sumu inaelekezwa kwake. Ee Mungu, Mweza yote, umpe nguvu kamanda wetu, uifariji familia yake na wapendwa wake. Umrudishie mara mia kwa kujitolea kwake. Damu iliyomwagwa katika mapambano haya, isipotee bure, bali uitakase iwe sehemu ya gharama ya ukombozi wa Taifa ketu, wala isiwe sababu ya laana kwa Taifa
Amen. Sala tosha kabisa hii.
 
Ni heshima kubwa kwamba F.A. Mbowe ndio amebeba matumaini ya watanzania wapenda Demokrasia na Uhuru wa kweli. Yuko mstari wa mbele na ndio maana mishale yote ya sumu inaelekezwa kwake. Ee Mungu, Mweza yote, umpe nguvu kamanda wetu, uifariji familia yake na wapendwa wake. Umrudishie mara mia kwa kujitolea kwake. Damu iliyomwagwa katika mapambano haya, isipotee bure, bali uitakase iwe sehemu ya gharama ya ukombozi wa Taifa ketu, wala isiwe sababu ya laana kwa Taifa
Matumaini ya Watanzania wanabebwa na Watanzania wenyewe. Mbowe pekee hawezi kubeba matumaini ya Watanzania. Tatizo hapa ni kumuweka mtu mmoja juu ya wengine anaofanya nao kazi.

Yaani tunakuwa na cultish belief kwamba hakuna mwingine isipokuwa yeye. Kwanza mtu mwenyewe kwenye uongozi ameonekana kupwaya, akiwa amejikita kwenye kula pesa ya CHADEMA.

Amkeni, tujuwe CHADEMA HAINA KIONGOZI MMOJA TU. WAPO WENGI, NA KUSHIRIKIANA KWAO NDIYO KUTALETA MABADILIKO, SIYO IMANI KWA MTU MMOJA UTAFIKIRI mUNGU.
 
Hongera mwenyekiti Freeman Mbowe kwa kuadhimisha siku yako ya kuzaliwa !

Mungu akuongezee afya pamoja ya kuwa unapitia kipindi kigumu ukiwa gerezani.
 
Happy birthday Mheshimiwa, najua unaenda kuwa na miaka mingi ya furaha na amani. We miss you out here but we are happy that you are happy where you are now
 
Walipomfunga jela Segerea wakajua wamemaliza kazi. Haikuwa.

Matumaini yao sasa ni kesi ya kupikwa ambayo badala ya kummaliza Mbowe na chama chake ndiyo inayowaimarisha zaidi na zaidi CHADEMA na kumjengea hadhi ya kipekee kabisa Mweyekiti Mbowe na kumweka kwenye kumbukumbu ya nchi hii kama mfungwa wa kisiasa, mpigania haki, demokrasia na uhuru.

Mbowe hana sababu ya kusononeka kusherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa kwenye mapambano.
 
Matumaini ya Watanzania wanabebwa na Watanzania wenyewe. Mbowe pekee hawezi kubeba matumaini ya Watanzania. Tatizo hapa ni kumuweka mtu mmoja juu ya wengine anaofanya nao kazi. Yaani tunakuwa na cultish belief kwamba hakuna mwingine isipokuwa yeye. Kwanza mtu mwenyewe kwenye uongozi ameonekana kupwaya, akiwa amejikita kwenye kula pesa ya CHADEMA. Amkeni, tujuwe CHADEMA HAINA KIONGOZI MMOJA TU. wAPO WENGI, NA KUSHIRIKIANA KWAO NDIYO KUTALETA MABADILIKO, SIYO IMANI KWA MTU MMOJA UTAFIKIRI mUNGU.
Mwendazake mlithubutu kumuita mungu wa watanzania, mlimuweka chini ya nani?
 
Back
Top Bottom