Happy born day Mwamba Mbowe

Kwanza mtu mwenyewe kwenye uongozi ameonekana kupwaya, akiwa amejikita kwenye kula pesa ya CHADEMA.
Hizi ndio propaganda za ccm katika ubora wake. Tokea baada ya uchaguzi wa 2020, CHADEMA haikupeleka akaunti ambayo ingetumiwa kuwawekea fedha ya ruzuku, ambayo ni haki yao kikatiba na kwa mujibu wa sheria na kanuni. Kwa kupata zsidi ya 13% ya kura za urais tu, CHADEMA tayari wana kiasi kikubwa tu cha fedha stahili yao kama ruzuku. Lakini kwa kujali msimamo, wamekataa kuchukua hiyo ruzuku. Sasa huko CHADEMA kuna fedha ipi ambayo Mbowe anaitafuna? Maana alifungiwa akaunti zake binafsi, hakuna akaunti ya chama iliyoguswa. Ulichoandika ni umbeya wa bei ya chini kabisa.
Kama kweli Mbowe angekuwa "amepwaya katika uongozi" basi wala asingeandamwa na serikali ya ccm. Anaandamwa kwa sababu yuko very effective katika kutekeleza malengo ya CHADEMA
 
Amkeni, tujuwe CHADEMA HAINA KIONGOZI MMOJA TU. WAPO WENGI, NA KUSHIRIKIANA KWAO NDIYO KUTALETA MABADILIKO, SIYO IMANI KWA MTU MMOJA UTAFIKIRI mUNGU.
CHADEMA ni taasisi kubwa. Ina viongozi wengi, kuanzia ngazi ya tawi, wilaya, mkoa, kanda na taifa. Viongozi wengine wapo ndani ya nchi na wengine nje ya nchi. Wengine wapo gerezani wengine hawapo gerezani. Kwa pamoja wanaongoza taasisi hii inayoisumbua serikali ya ccm. Mungu ibariki CHADEMA. Amina.
 
Punguza mihemko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…