Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
- Thread starter
-
- #41
imepita kimya kimyaOk! Birthday girl... but it would have been more fan if you would dare for a blind date...
thanks though haifunguki hii kitu umenitumia hivi marekebisho ya jf bado yanaendelea?
sijagusa kitu chochote nililala tu kimyaaa no... bia mwez wa kwanza huu nimefunga kwa hiari blus buzi la serikali limekata kamba ...hahaha magufuli kibokooTeh teh..Bia leo zitatubu aisee..Hbd btw..Fanya kunialika basi
thankyou very muchHappy birthday mummy
thank you my dear be blessedI wish hbd though event hapened yesterday
asante my dear was greatHappy birthday
Unakaribishwa.thanks though haifunguki hii kitu umenitumia hivi marekebisho ya jf bado yanaendelea?
It was my office pc Asante n wayUnakaribishwa.
Pole sana.
Nafikiri inategemea na mtambo/chombo unaotumia/unachotumia.
Ndio, Kuna maboresho madogo madogo bado yanaendelea huku sisi tukiwa bado tunaendeleza libeneke.
Ndio maana kuna wakati/siku utaona hapa pakutumia maoni yetu kuna vitu vinapungua/vinakuwa havipo
Ashe naleI hope it's not too late to wish you a happy new birth year. May all your dreams come true
Hivi si upo kwenye ignore list yangu wewe[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]happy birthday shemeji flora msoffe ingawa nimechelewa
kwa unavyonipenda huwezi kunifanyia hivyo kwani kuishi kwako kunategemea na mahaba kutoka kwangu flora msoffeHivi si upo kwenye ignore list yangu wewe[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Subiri utaonakwa unavyonipenda huwezi kunifanyia hivyo kwani kuishi kwako kunategemea na mahaba kutoka kwangu flora msoffe
mbona hata sasa naona flora msoffe! umetimiza miaka mingapiSubiri utaona
Dakika kumi tuu na kupoteza kwaherimbona hata sasa naona flora msoffe! umetimiza miaka mingapi
kwani kuna tatizo gani kubwa nililokufanyia flora msoffe ? nipoteze tu mpo wengi sio wewe tuDakika kumi tuu na kupoteza kwaheri