Happy Born Day to me

Happiest Birthday Rafiki yangu, Mwenyezi Mungu akusimamie daima wewe pamoja na familia yako..!!

Usiache kumsalimia Mama ....!!

Nb; hivi ile culture ya jina langu ndiyo ikapeperushwa na upepo??!
 
Nashukuru sana rafiki ubarikiwe

Sasa tatizo ulipotea kimya kimya hadi nikaondoka kwa jamaa ila bado tunaweza ichukua pia πŸ˜€πŸ˜€
 
Nitakudai tena birthday yako ya mwakani, utajua haujui.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…