Nina kasha lako la PrawnsMabibi na Mabwana wa JF....
Kasinde
View attachment 2058423
na Mahabibi wake (Da.....) tunawatakia siku ya ufunguaji maboksi mwema.
Yetu tushafungua
View attachment 2058411
tukiwa na pajama
View attachment 2058413
(Usiulize maswali, sina majibu)
sasa twaenda sakata rhumba viunga vya baharini...... si kwa joto hili la Mbagala....
View attachment 2058416
Enjoy your day, with Love...
Kasinde and Mahabibi wake D.....
Kuna matomaso waliotomasika haya tuambie weye ndi yupi..?Kwa wale matomaso, nawatakia zoezi jema la kulinganisha picha π.
Hivi [mention]Mshana Jr [/mention] jina lake la mwanzo nan[emoji23][emoji23]
Anyway nmewaza mbali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha fujo kasie weye haupo hapo maana naona machibonge tu!πPajamaa....ππππππ
Baeleze na matomaso wenzio...
SawaEndelea kulinganisha na avatar pia...ππ
yule dada picha ya kwanza anaugulia maumivu ya nini ?Kwa wale matomaso, nawatakia zoezi jema la kulinganisha picha π.