Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
Heri ya siku ya wababa wote wanaowajibika kwa familia zao, hongereni sana Mungu awape uhai na Maarifa zaidi🥰
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waoooo, thanks dear, pokea maua yakoHeri ya siku ya wababa wote wanaowajibika kwa familia zao...hongereni sana Mungu awape uhai na Maarifa zaidi🥰
Asante nimepokea🥰Waoooo, thanks dear, pokea maua yako
HalelujahIkawe siku yenye kheri kwako😊🤗
Shukran madam 😀😍Heri ya siku ya wababa wote wanaowajibika kwa familia zao...hongereni sana Mungu awape uhai na Maarifa zaidi🥰
Amen 🤩🤩Halelujah
Upande wa kina baba hainaga kuelezea...upande wetu tuna mengi ya kuelezea siku ya mama ..Nategemea nyuzi iwe ndefu,Kina mama wake kutumiminia Salam za pongeZi,lakini mhhh!