Mabinti mna roho mbaya Sana humu, hata kuja kuwapongeza baba zenu😠😠 hata Kama mlikaa tumboni kwa mama zenu,aliewaweka Nani🤣🤣 baba zenu wameliwa chips zso Sana,vidari vinene vya kuku🤣🤣mpaka mama zenu kukubali kuvua nguo zote tano kwa baba zenu,😋😋 mnadhani kazi ndogo😳😳 mbaya zaidi baba ndiyo anaamua mtoto gani azaliwe ,maana ndo ana mbegu x na y kisayansi.
Mnasubiri wafe ndo RIP my dady. Hizo hazisaidii, msidanganywe na mama zenu kwamba baba zenu hawakuwasaidia.
Matatizo yao nakutokuelewana kwao wewe hakukuhusu.
Ushauri wangu Kama BROTHER wenu mabinti.