Happy Father's Day


Juguar,

Umeanzisha uzi mzuri sana ila umeuchakachua mwenyewe. Kama wewe siyo baba basi tupongeze sisi ambao ni baba hadi tumekuwa babu sasa!

Sooo......Happy father's day to all colleagues !!!!

Kuwa baba si kiwiliwili...bali ni concept inayohusisha mambo ya kisaikolojia, filosofia na kitabia. Baba halisi (biological father) anaweza asiwe baba kwa kipimo chochote. Ila mtu mwingine (a non-biological father) anaweza kuwa zaidi ya baba mzazi. Mtoto anahitaji baba wa kweli na siyo sura au kiwiliwili. For me, it doesn't who made my mom pregnant..but who really became my father...Hayo mambo mengine anayajua mama mwenyewe na kwa mtoto umuhimu wake unaweza kuwa mdogo sana. Ndo maana wazee wa busara wakasema kuwa kitanda hazai haramu.

Kwa hiyo siwezi kuwafanyia DNA test watoto wangu (wanaoiita baba na kujua kuwa duniani humu hakuna baba mwingine). Kama ni kuitwa majina yoyote (eg. mume *****) ni poa! It is a price I took an oath to bear until my last breath!!

Babu DC!!
 
Its fathers day real,but my dad has dissappointed me a lot in this life!

Pole sana mkuu,

Msamehe sana ila ujiwekee malengo ya kutokuwa baba au mama wa hovyo kama huyo baba yako. Binafsi I hated my father's way of doing things and nimeapa kuwa baba wa kweli kwa watoto wangu...tofauti na alivyokuwa baba yangu ingawa nilishamsamehe!

Namwomba Mungu anisaidie katika azma yangu hiyo!!
 
Pole sana.

Jifunze kumsamehe.

Kweli ndugu yangu...kama binadamu inabidi tujifunze kusamehe hata katika mambo ambayo mengine ni magumu sana.

To be a father is more than sleeping with a woman.. ukizingatia wanaume wengi wanaamini kuwa..not every ejaculation deserves a name!!
 
Kweli ndugu yangu...kama binadamu inabidi tujifunze kusamehe hata katika mambo ambayo mengine ni magumu sana.

To be a father is more than sleeping with a woman.. ukizingatia wanaume wengi wanaamini kuwa..not every ejaculation deserves a name!!

Well said Mkuu! Thanks..
 
Nayakubali mawazo yako,kwa mtindo wa maisha ya kileo,akina baba inatupasa kuweka kinyongo kando,tukubali hali halisi ya kupokea matunda yoyote ya ndoa zetu.Sikumbuki ni mstari gani wa biblia unaotabiri kwamba,"enyi wanaume wa leo,kizazi hiki kimelaaniwa,mtaoa wanawake wenye kulala na waume wengi",so wanaume tuwavumilie wake zetu,na wanawake vumilieni kasoro za waume zenu,tuitumikie laana hii!
 
Hongereni mababa wote, tunawapenda kuliko mnavyofikiri, Mungu awatie nguvu muendelee kuwa wababa wazuri wenye upendo na familia zenu
 
My Father gave me the greatest gift anyone could give another person, he believed in me.

Thank you Dad

To all JF's Super Dads who show their love in so many ways and being supportive husbands and committed Dads to make sure their famillies feel, happy, safe and cared for. Congratulations! and please keep it up!


HAPPY FATHER`S DAY
 
Last edited by a moderator:
TO THE BEST FATHERS IN THE WORLD!
 
Last edited by a moderator:
Rev what does this day really mean to the society? is there any special evens should be conducted to remark this day? and what are they!

Nadhani ni kuwa karibu na familia ....outings na vijizawadi just to bridge together the family mazee
 
dahhhh
Rev
fathers day is in September ....
au ??
 
dahhhh
Rev
fathers day is in September ....
au ??

AD kuna mitaa mingine ni September na mitaa mingine ni June nadhani umenielewa...namsaidia tu Rev najua yuko kwenye party ya kufa mtu ya kusherehekea siku hii kubwa kwa akina Baba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…