Abby The Rider
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 462
- 733
Japokua nimechelewa kuwawish mababa siku yenu hii maalumu, lakin hatuna budi tutafakari hili.
Mwanaume
1. Hunywi pombe.
2. Huvuti bangi.
3. Sio mwizi.
4. Huna mchepuko
Alafu jumapili unasali sala ya toba unataka usamehewe nn ww. Kodi au?
HAPPY FATHER'S DAY💪💪💪
Mwanaume
1. Hunywi pombe.
2. Huvuti bangi.
3. Sio mwizi.
4. Huna mchepuko
Alafu jumapili unasali sala ya toba unataka usamehewe nn ww. Kodi au?
HAPPY FATHER'S DAY💪💪💪