Habari wadau
Leo ni kumbukizi ya wababa duniani nami nawatakia heri na fanaka katika kumbukizi hii especial dady wangu namlavu sana kwa kunilea na kunitunza mpaka niko hivi
Pia sitamsahau dady yetu wa jf
Watu8 kwa kutupa maadili sisi watoto wake wote pacha wetu
Passion Lady na
Lady doctor,
WiseLady , na kadogo ketu
moses
salamu zimfikie
Baba V ,
The Boss ,
Arushaone ,
Erickb52 ,
kiwatengu ,
Madame B ,
Mtambuzi ,
Mentor ,
Slave ,
Khantwe ,
Chachu Ombara (huyu ni laaziz wangu dady
Watu8 tambua hilo), na
sosoliso na wengineo wengu niliowasahau si mnajua uzee tena hahaaaaaaaa